maombolezo ya arubaini ya Imam Husein yafanyika mjini Landan
6 Desemba 2015 - 20:16
Msimbo wa Habari: 723402
Shirika la habari AhluBayt (a.s) ABNA: maadhimisho ya arubaini ya mjukuu wa mtume Muhammad (s.a.w.w) Imam Husein (a.s) yamefanywa na wafuasi wa madhehebu ya Ahlulbayt (a.s) mjini Landan Uingereza katika sehemu tatu tofauti katika mji huo, huku maombolezo hayo yakihudhuriwa na wafuasi wa madhehebu ya AhlulBayt (a.s) wanaoishi katika mji huo nchini Uingereza.